Habari za Punde

Uzinduzi wa Kituo cha Uokozi na Uzamiaji na Boti ya Kisasa ya Uokozi ya KMKM Bandari ya Mkoani Pemba.

Boti Mpya ya Uokoaji wa Kikosi cha KMKM Zanzibar ikiwa katika bandari ya Mkoani Kisiwani Pemba weakati wa Uzinduzi wake uliofanywana Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, ikiwa ni Shamrashamra za Kuadhimisha Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Jengo la Uokoji na Uzamiaji la Kikosi cha KMKM likiwa katika Bandari ya Mkoani Kisiwani Pemba moja ya Mradi wa Vituo Vya Uokoaji na Uzamiaji Zanzibar, lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Boti Mpya ya Kikosi cha KMKM ya Uokoaji na Uzamiaji ikiwa katika Bandari ya Mkoani Kisiwani Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkuu wa KMKM Zanzibar Commodore Hassan Mussa Mzee, alipowasili katika bandari ya Mkoani Kisiwani Pemba kwa ajili ya Uzinduzi wa Boti Mpya ya Uokoaji na Uzamiaji Zanzibar. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkuu wa Mabaharia wa KMKM CDR.Hussein Ali Makame, wakati wa Uzinduzi huo wa Boti hiyo Mpya uliofanyika katika Bandari ya Mkoani Kisiwani Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akikata Utepe kuashiria Uzinduzi wa Boti hiyo Mpya ya Kikosi cha KMKM Zanzibar, kulia Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ. Mhe. Haji Omar Kheri na kushoto Mkuu wa KMKM Zanzibar Commodore Hassan Mzee Mussa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea Boti Mpya ya KMKM,baada ya kuizindua katika bandari ya Mkoani Kisiwani Pemba.  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Afisa wa KMKM CDR.Hussein Ali Makame, wakati akitembelea Boti hiyo Mpya , baada ya kuizinduwa wakati wa majaribio yake ikiwa katika pwani ya Mkoani Kisiwani Pemba kuonesha, uwezo wake wa kutowa huduma za uokozi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika Boti Mpya ya KMKM ikiwa katika bahari ya Mkoani wakati wa majaribio yake, kulia Mkuu wa KMKM Zanzibar. Commodore Hassan Mussa Mzee, wakiwa katika boti hiyo, baada ya uzinduzi wake ikiwa ni shamrashamra za Sherehe za Kuadhimisha Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria Uzinduzi wa Jengo la Uokoji na Uzamiaji la KMKM katika Bandari ya Mkoani Pemba. Ikiwa ni shamrashamra za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria kulifungua Jengo la Kikosi cha KMKM Zanzibar,la Uokoaji na Uzamiaji Zanzibar katika eneo la Bandari ya Mkoani Kisiwani Pemba,kulia Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ.ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Ofisa wa KMKM Zanzibar CDR.Hussein Ali Makame, akitowa maelezo ya kimoja ya kifaa kinachotumika wakati wa uzamiaji katika uokozi kuandikia wakiwa chini ya bahari wakiendelea na Kazi.ya uokoaji.kushoto Mkuu wa KMKM Commodore Hassan Mussa Mzee. wakiwa katika moja ya vyomba katika jengo hilo


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.