Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Afungua Mkutano wa Mwaka wa Maafisa Ustawi wa Jamii Jijini Dodoma.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua Mkutano wa Mwaka  wa Maafisa Ustawi wa Jamii wa Mikoa na Halmashauri zote Tanzania Bara, kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza mtoto, Hussein Jailal (kushoto) wakati alipotoa ushuhuda kwa niaba ya watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi katika Mkutano wa Mwaka wa Maafisa Ustawi wa Jamii wa Mikoa na Halmashauri zote Tanzania Bara, uliofunguliwa na Waziri Mkuu kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Mwaka wa Maafisa Ustawi wa Jamii wa Mikoa na Halmashauri zote Tanzania Bara wakimshangilia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipoingia kwenye ukumbi wa  Mikutano wa Jakaya Kikwete jijiniDodoma kufungua mkutano huo.
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Mwaka wa Maafisa Ustawi wa Jamii wa Mikoa na Halmashauri zote Tanzania Bara wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua Mkutano huo kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Mwaka wa Maafisa Ustawi wa Jamii wa Mikoa na Halmashauri zote Tanzania Bara wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua Mkutano huo kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma, Januari 29, 2019. (Picha na  Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.