Habari za Punde

Waziri wa Fedha na Mipango azindua madarasa Sita ya Kusomea wanafunzi katika Chuo cha Kiislamu Micheweni


WAZIRI wa Fedha na Mipango Zanzibar Dr Khalid Salum Mohamed, akikunjuwa kitambaa kuashiria uzinduzi wa madarasa sita ya kusomea katika Chuo cha Kiislamu Micheweni, ikiwa ni shamrashamra za miaka 55 ya Mpainduzi Matukufu ya Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 WAZIRI wa Fedha na Mipango Zanzibar Dr Khalid Salum Mohamed, akikata utepe kuashiria ufunguzi wa madarasa Sita ya Kusomea wanafunzi katika Chuo cha Kiislamu Micheweni, ikiwa ni shamrashamra za miaka 55 ya Mpainduzi Matukufu ya Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 WAZIRI wa Fedha na Mipango Zanzibar Dr Khalid Salum Mohamed, akiangalia moja ya vikalio vilivyomo ndani ya madarasa sita ya kusomea katika Chuo cha Kiislamu Micheweni, mara baada ya kuyafunguarasmi madarasa hayo, ikiwa ni shamrashamra za miaka 55 ya Mpainduzi Matukufu ya Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 WAZIRI wa Fedha na Mipango Zanzibar Dr Khalid Salum Mohamed, akiwa na Viongozi mbali mbali wa Serikali ya Mpainduzi ya zanizbar na Naibu waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mmanga Mjengo Mjawiri, wakiwa wamekalia katika viti maamulu vilivyomo ndani ya Madarasa sita ya kusomea ya Chuo cha kiislamu Micheweni, mara baada ya kufunguliwa rasm, ikiwa ni shamrashamra za miaka 55 ya Mpainduzi Matukufu ya Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 VIONGOZI mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Wakiongozwa na Waziri wa Fedha na Mipango Dr Khalid Salum Mohamed, wakiimba wimbo wa taifa wa Zanzibar mara baada ya kuyazinduwa Rasmi madarasa Sita ya Kusomea katika Chuo cha Kiislamu Micheweni,ikiwa ni shamrashamra za miaka 55 ya Mpainduzi Matukufu ya Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 NAIBU waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mmanga Mjengo Mjawiri, akizungumza na wananchi wa Kiuyu Mbuyuni na wanafunzi wa Chuo cha Kiislamu Micheweni, mara baada ya kufunguliw akwa madarasa Sita ya Kusomea Chuoni hapo, ikiwa ni shamrashamra za miaka 55 ya Mpainduzi Matukufu ya Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 LICHA ya Kuwa ni Mlemavu wa Miguu, mmoja wa wanafunzi wa skuli ya Msingi Kiuyu Mbuyuni, hakuweza kubakia nyuma badala yake alihudhuria ufunguzi wa madarasa Sita ya kusomea katika chuo cha Kiislamu Micheweni, ikiwa ni shamrashamra za miaka 55 ya Mpainduzi Matukufu ya Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 WAZIRI wa Fedha na Mipango Zanzibar Dr Khalida Salum Mohamed, akizungumza na wananchi wa Kiuyu Mbuyuni Wilaya ya Micheweni mara baada ya kufungua madarasa sita ya kusomea, ikiwa ni shamrashamra za miaka 55 ya Mpainduzi Matukufu ya Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.