Habari za Punde

Hii ni hatari ya kujitakia!


IPO haja kwa wazazi kuwa makini wakati wa kuwachukuwa watoto wao muda wa kutoka Skuli, pichani mmoja ya mwananchi wa Wilaya ya Wete akiwa amewapakia watoto watano pahali pamoja wakiwa wanatoka skuli, kama alivyokutwa na mpiga picha wetu. (PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.