Habari za Punde

Uchafu unavyokithiri fukwe za Vumawimbi wakati wa Kaskazi

WASAMARIA wema na madereva wa gari mbali mbali, wanaopeleka wananchi katika ufukwe wa Vumawimbi ulioko Makangale Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakisaidia kusukuma gari iliyokwama kufuatia fukwe hiyo kuwa na uchafu mwingi katika kipindi hiki cha Upepo wa Kaskazi.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.