Habari za Punde

Kikao maalum kujadili ukarabati mkubwa wa majengo ya kihistoria chafanyika

Baadhi ya Wajumbe 11 kutoka Oman waliofika kwa ajili ya kufanya Tathmini ya Ukarabati mkubwa wa Majengo ya kihistoria Ikiwemo Baitul Ajaib wakiwa katika kikao  maalum cha majadiliano katika Ukumbi wa Wizara ya Habari  Utalii na Mambo ya kale Kikwajuni mjini Unguja.
 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya kale Dk,Amina Ameir Issa akitoa maelezo na kuonesha kwa njia ya Picha namna ya majengo ya kihistiria yalivyokua mwanzo katika kikao  maalum cha majadiliano katika Ukumbi wa Wizara ya Habari  Utalii na Mambo ya kale Kikwajuni mjini Unguja.

 Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya kale Mahmoud Thabit Kombo akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa Taasisi ya Taifa ya Nyaraka na Kumbukumbu wa Oman Dk,Hemed Mohamed Al-Dhawiyan katika kikao  maalum cha majadiliano katika Ukumbi wa Wizara ya Habari  Utalii na Mambo ya kale Kikwajuni mjini Unguja.

 Balozi mdogo wa Oman alioko Zanzibar Dk Ahmad Hamoud Al-Habsi akitoa mchango wake katika kikao  maalum cha majadiliano  kuhusu Ukarabati mkubwa wa majengo ya kihistoria katika  Ukumbi wa Wizara ya Habari  Utalii na Mambo ya kale Kikwajuni mjini Unguja.
 Mwenyekiti wa Taasisi ya Taifa ya Nyaraka na Kumbukumbu wa Oman Dk,Hemed Mohamed Al-Dhawiyan akitoa hotuba katika kikao  maalum cha majadiliano kuhusu Ukarabati mkubwa wa majengo ya kihistoria katika Ukumbi wa Wizara ya Habari  Utalii na Mambo ya kale Kikwajuni mjini Unguja.


Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya kale Mahmoud Thabit Kombo akitoa hotuba katika kikao  maalum cha majadiliano kuhusu Ukarabati mkubwa wa majengo ya kihistoria katika Ukumbi wa Wizara ya Habari  Utalii na Mambo ya kale Kikwajuni mjini Unguja.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.