Habari za Punde

Mafunzo ya siku tatu ya utengenezaji wa sabuni zenye viwango wafanyika Pemba

 WAJASIRIAMALI wa bidhaa za Sabuni Kisiwani Pemba, wakimimina sabuni ya maji katika chupa maalumu, baada ya kupatiwa mafunzo ya siku tatu juu ya utengenezaji wa sabuni zenye viwango, kutoka taasisi ya Viwango Zanzibar ZBS.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

WAJASIRIAMALI wa bidhaa za sabuni Kisiwani Pemba, wakikoroga sabuni ya maji baada ya kupatiwa mafunzo ya utengenezaji wa Sabuni zenye viwango, kutoka kwa taasisi ya Viwango Zanzibar ZBS.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.