Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan Aendelea na Ziara Yake Nzega na Uyui Mkoani Tabora.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mbunge wa Jimbo la Nzega Mjini Mhe. Hussein Bashe mara baada ya kuweka jiwe la msingi la uzinduzi wa kiwanda cha kuchakata gesi, kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Aggrey Mwanri (kulia) Makamu wa Rais yupo kwenye ziara ya kukagua na kuhamasisha shughuli za kimaendeleo mkoani Tabora

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Naibu Waziri TAMISEMI Mhe. Mwita Waitara,  Mbunge wa Igalula Mhe. Mussa Ntimizi (kulia) na Mkuu Mkoa wa Tabora Mhe. Aggrey Mwanri, Mkuu wa Wilaya ya Uyui Bi. Gift Msuya (kushoto) mara baada ya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa kituo cha Afya Igalula, wilayani Uyui mkoa wa Tabora. 
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.