Habari za Punde

Mkutano wa kujadili namna ya kupunguza au kuondosha mambo ya udhalilishaji wafanyika Mkoani


KADHI wa Wilaya ya Mkoani Mohamed Adam Makame, akitoa maelezo juu ya uwepo wa vyuo vya ndoa Zanzibar, wakati wa kikao cha wajumbe wa kamati ya kupunguza au kuondosha kabisa udhalilishaji ya Wilaya ya Mkoani, mkutano ulioandaliwa na Shirika la SOS Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.