IPO kwa wananchi kuendelea kutii sheria bila ya kushurutishwa, pichani gari ya abiria ruti ya Chake Wete njia Mpya, ikiwa imepakia abiria mpaka kunin'ginia wengine, jambo ambalo linaweza kuhatarisha maisha ya abiria.
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)
No comments:
Post a Comment