Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Awasili Kisiwani Pemba Kwa Ziara ya Kikazi Katika Mikoa Miwili ya Kusini na Kaskazini.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe Hemed Suleiman Abdallah, alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kurume Chakechake Pemba, akiwa katika Ziara ya Kikazi katika Mikoa miwili ya Kusini na Kaskazini kutembelea Miradi ya Maendeleo. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wa Serikali na Vyama waliofika Uwanja wa Ndege wa Karume Chakechake Pemba, akiwa katika ziara ya Kikazi inayotarajiwa kuaza kesho katika Mikoa ya Kusini na Kaskazini Pemba. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,,akiwa na Mama Mwanamwema Shein, wakisalimiana na Viongozi wa Vyombo vya Usalama vya SMZ na SMT,alipowasili Uwanja wa Ndege wa Karume Chakechake Pemba leo jioni , kuaza ziara yake kesho katika Mikoa ya Kusini na Kaskazini Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.