Habari za Punde

Ufunguzi wa Skuli ya Msingi Bopwe Wilaya ya Wete Kisiwani Pemba.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akifurahia baada ya kuweka jiwe la Msingi la Skuli ya Msingi Bopwe Wilaya la Wete Kisiwani Pemba akiwa katika ziara yake kutembelea Mikoa miwili ya Pemba ya Kusini na Kaskazini.kutembelea Miradi ya Maendeleo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akifurahia jambo wakati akitembelea madarasa ya Skuli ya Msingi Bopwe Wilaya ya Wete Pemba .baada ya kuweka jiwe la msingi la Skuli hiyo akiwa katika ziara yake kisiwani Pemba.kulia Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Mhe.Haji Omar Kheri na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma na kushoto Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serkali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ ,Bi. Radhia Haroub, wakiwa katika moja ya madarasa ya skuli hiyoi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Mhe.Riziki Pembe Juma, mwenye gauni la njano.katikati Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Mhe Haji Omar Kheri na kushoto Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum Bi.Radhia Haroub.
Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Bi. Radhia Haroub, akisoma taarifa ya kitaalam ya ujenzi wa Skuli ya Msingi Bopwe Wilaya ya Wete Pemba wakati wa ufunguzi wa Skuli hiyo uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.