WANAFUNZI wa skuli ya sekondari mkanyageni wakisoma vitabu mbali mbali, vilivyowekwa na watendaji wa Maktaba ya Chake Chake katika uhamasishaji wanafunzi kusoma vitabu.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WANAFUNZI wa Skuli ya Msingi Mkanyageni wakisoma vitabu vilivyotolewa na watendaji wa maktaba ya Chake Chake, ikiwa na lengo la kuhamasisha wanafunzi kupenda kusoma .(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:
Post a Comment