Habari za Punde

Maadhimisho ya kuzaliwa kwa Mvumbuzi wa mambo ya Kale Dr David Livingstone Waziri wa Habari, Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo, akiangalia makumbusho ya Mvumbuzi wa mambo ya kale  Dr. David Livingston miaka 206 iliopita, maadhimisho ya kuzaliwa kwake ghafla iliofanyika, kwenye Jengo hilo  Golioni Mjini Unguja (PICHA NA ABDALLA OMAR).
 Katibu Mtendaji Kamisheni ya Utalii Zanzibar Abdalla Mohamed, akizungumza na kumkaribisha Waziri wa Habari, Utalii na Mambo ya Kale kwenye  maadhimisho ya Mvumbuzi wa mambo ya kale Dr. David Livingston yaliofanyika kwenye Jengo hilo  Gulioni Mjini Unguja (PICHA NA ABDALLA OMAR).
 Waziri wa Habari, Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo, akiwahutubia wananchi waliohudhuria maadhimisho ya Mvumbuzi wa mambo ya kale  Dr. David Livingston, ghafla iliofanyika kwenye Jengo hilo  Golioni Mjini Unguja (PICHA NA ABDALLA OMAR).
  Wananchi mbalimbali waliohdhuria siku ya maadhimisho ya Mvumbuzi wa mambo ya kale Dr. David Livingston yaliofanyika kwenye Jengo hilo  Golioni Mjini Unguja (PICHA NA ABDALLA OMAR
  Wananchi mbalimbali waliohdhuria siku ya maadhimisho ya Mvumbuzi wa mambo ya kale Dr. David Livingston yaliofanyika kwenye Jengo hilo  Gulioni Mjini Unguja (PICHA NA ABDALLA OMAR

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.