Habari za Punde

Makabidhiano ya Ofisi Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar Yafanyika Katika Jengo la Wizara ya Fedha Vuga Zanzibar


Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar.Mhe Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa akisaiuni Hati ya Makabidhiano ya Ofisi na Aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mwakilishiu wa Jimbo la Donde Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed kulia, hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Fedha na Mipango Vuga Zanzibar.
Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar (MBM) Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa kushoto akikabidhia Hati za Wizara ya Fedha na Mipango, kutoka kwa aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo Mwakilishi wa Jimbo la Donde Zanzibar Dkt. Khalid Salum Mohammed, kulia,Hafla hiyi imefanyika katika ukumbi wa Mkutano wa Wizara hiyo Vuga Zanzibar.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar, Nd. Khamis Mussa akizungumza wakati wa hafla kukabidhiana Ofisi na Waziri Mpya wa Wizara hiyo aliyeteuliwa hivi karibu kushika nafasi hiyo Mhe.Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa.hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Wizara hiyo Vuga Zanzibar.  
Aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mwakilishi wa Jimbo la Donge Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed, akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi Ofisi kwa Waziri Mpyac wa Wizara hiyo Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa mkutano wa Wizara hiyo Vuga Zanzibar.
Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa, akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhiwa Ofisi na aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Dkt.Khalid Salum Mohammed, kulia na kushoto Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar Ndg.Khamis Mussa. Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Zanzibar Ndg Juma Reli.


Maofisa wa Idara na Taasisi za Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar wakifuatilia hafla hiyo ya makabidhiano ya Ofisi ya Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar kwa Waziri Mpya Mhe.Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa, wakiwa katika ukumbi wa mkutano.
(Picha na Abdallah Omar)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.