Habari za Punde

Madaktari Bingwa wa Upasuaji Kutoa Nchini Hispania Waendelea Zoezi la Upasuaji Hospitali ya Chakechake Pemba

Madaktari Bingwa kutoa Nchini Hispania wakiwa katika zoezi la kutowa huduma wa uperesheni kwa Wananchi wanaosumbuliwa na Maradhi mbalimbali ya uvimbe na Kinamama. Zoezi hilo la huduma hiyo litafanyika kwa Wiki mbili Kisiwani Pemba katika Hospitali ya Chakechake Pemba.
(Picha na Hanifa Salum -Pemba )

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.