Habari za Punde

Ofisi ya Halmashauri Wilaya ya Kati yakabidhi vifaa kwa wajasiriamali wadogo wadogo

Baadhi ya vyerahani ambavyo ni msaada kutoka kwa uongozi wa Ofisi ya halmshauri ya Wilaya ya kati kwa vikundi vya wana ushirika
Baadhi ya mipira ya maji ambayo ni msaada kutoka kwa kuongozi wa halmshauri ya Wilaya ya kati kwa vikundi vya wana ushirika
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kati , Bw Said Mtaji Askari akikabidhi Vyerahani kwa wanaushirika kutoka Unguja Ukuu, Chwaka, Ndijani na Tunguu ili kuwasaidia katiika kujikwamua kiuchumi

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.