Habari za Punde

Kampuni ya Zantel Yakabidhi Vifaa Vya Michezo Timu za Mpira Kisiwani Pemba.

MKUU wa Mawasiliano na Utawala kutoka kampuni ya Zantel Tanzania, John Sicilima akimkabidhi jezi kiongozi wa timu ya New Baury kutoka Wete Abdalla Rashid, hafla iliyofanyika chake Chake Pemba
MKUU wa Mawasiliano na Utawala kutoka kampuni ya Zantel Tanzania, John Sicilima akimkabidhi jezi kiongozi wa timu ya Kichungwani City Khamis Iddi, hafla iliyofanyika chake Chake Pemba
MKUU wa Mawasiliano na Utawala kutoka kampuni ya Zantel Tanzania, John Sicilima akimkabidhi jezi kiongozi wa timu ya small Ranger Omar Abdalla, hafla iliyofanyika chake Chake Pemba
MKUU wa Mawasiliano na Utawala kutoka kampuni ya Zantel Tanzania, John Sicilima akimkabidhi jezi kepteni wa Timu ya New Vition inayoshiriki ligi ya Vijana Wilaya ya Wete Mundhir Khamis hafla iliyofanyika chake Chake Pemba
MKUU wa kampuni ya Zantel Zanzibar Mohamed Baucha, akimkabidhi jezi kiongozi wa Timu ya Mbuyuni Kutoka Mkoani Rashid Maulid, hafla iliyofanyika Chake Chake Pemba
MKUU wa Kampuni ya Zantel Zanzibar, Mohamed Baucha akizungumza na viongozi wa vilabu sita vya madaraja mbali mbali Kisiwnai Pemba, kabla ya kukabidhi jezi kwa timu hizo, halfa iliyofanyika Chake Chake Pemba.
MKUU wa Mawasiliano na Utawala kutoka Kampuni ya Zantel Tanzania, John Sicilima, akizungumza na viongozi wa timu sita za madaraja mbali mbali Kisiwani Pemba, kabla ya kukabidhiwa jezi na kampuni ya zantel  hafla iliyofanyika Chake Chake Pemba.
KIONGOZI wa timu ya Wazee ya Wete Kassim Iddi, akizungumza kwa niaba ya wenzake waliokabidhiwa jezi na Kampuni ya Zantel, hafla iliyofanyika Chake Chake Pemba.
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.