Habari za Punde

Mafunzo maalum kwa wandishi juu ya mpango mkakati wa kondom Zanzibar

 BAADHI ya waandishi wa habari Kisiwani Pemba kutoka vyombo tafauti, wakifuatilia kwa makini uwasilishaji wa mpango mkakati wa kondom Zanzibar, katika mafunzo maalumu kwa waandishi hao.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)

Mkuu wa habari na Mawasiliano tume ya Ukimwi Zanzibar, Saadat Sihaba Iddi  Mada ya Mpango Mkakati wa Kondom Zanzibar, kwa waandishi wa habari Kisiwani Pemba, kutoka vyombo mbali mbali vya habari, hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Tumbe hiyo ya Ukimwi Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.