Marehemu Clarence Sabaya Nanyaro aliyekuwa Mtumishi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Mwandishi wa Habari mkongwe Tanzania amezikwa Kijijini Kwao Arusha
Mkurugenzi wa Habari na Elimu ya
Mpiga Kura, Giveness Aswile wakati watumishi wa Tume walipouaga mwili wa
mtumishi mwenzao Clarence Nanyaro katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili,
jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya watumishi wa Tume ya Taifa
ya Uchaguzi an waombelezaji wengine wakishiriki katika ibada ya kumuaga
marehemu Clarence Nanyaro katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Baba na mama wa marehemu wakiwa an
nyuso za huzuni wakati wa ibada ya kuuaga mwili wa marehemu.
Baadhi ya watoto wa marehemu Clarence
Nanyaro (wawili mbele) na mjane wa merehemu (kushoto aliyeshika kichwa) wakiwa
kwenye majonzi wakati wa kuuaga mwili wa marehemu mpendwa wao.
Mjane wa Marehemu Clarence Nanyaro
akiaga mwili wa marehemu.wakati wa Ibadaa ya Maombi ya kumuombea marehemu iliofanyika kijiji kwao wakati wa mazishi yake.
Baba wa marehemu mzee Sabaya Nanyaro
akiaga mwili wa marehemu mwanaye wakati wa ibada ya kuuaga mwili wa marehemu.
Mkurugenzi Ofisi ya Tume ya Taifa ya
Uchaguzi (NEC) Zanzibar, Felix Wandwe akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa
marehemu.
Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki
wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu.
Baadhi ya waombolezaji waliohudhuria
kumuaga marehemu Clarence Nanyaro, kwenye kijiji cha Nkomaala wilayani Meru
mkoani Arusha.
Baadhi ya waombolezaji waliohudhuria
kumuaga marehemu Clarence Nanyaro, kwenye kijiji cha Nkomaala wilayani Meru
mkoani Arusha.
Baadhi ya waombolezaji wakishusha
mwili wa marehemu kwenye kaburi lake.
Mkurugenzi Ofisi ya Tume ya Taifa ya
Uchaguzi (NEC) Zanzibar, Felix Wandwe, akiweka shada la maua kwenye kaburi la
marehemu Clarence Nanyaro, aliyezikwa mwishoni mwa juma hili kijijini kwao
Nkomaala, wilayani Meru mkoa wa Arusha.
Mkurugenzi Ofisi ya Tume ya Taifa ya
Uchaguzi (NEC) Zanzibar, Felix Wandwe, akimpa pole mjana wa marehemu Clarence
Nanyaro an mtoto wake (kulia) baada ya kuuhifadhi mwili wa marehemu.
Mkurugenzi Ofisi ya Tume ya Taifa ya
Uchaguzi (NEC) Zanzibar, Felix Wandwe, akimpa pole baba wa marehemu mzee Sabaya
Nanyaro.
Mkurugenzi Ofisi ya Tume ya Taifa ya
Uchaguzi (NEC) Zanzibar, Felix Wandwe, akimpa mkono wa pole mama wa marehemu
Clarence Nanyaro.
Mkurugenzi Ofisi ya Tume ya Taifa ya
Uchaguzi (NEC) Zanzibar, Felix Wandwe, akiagana na Mkuu wa Boma, Mzee Gadiel
Nanyaro baada ya kumaliza mazishi ya marehemu.


No comments:
Post a Comment