Habari za Punde

Bonaza la Pasaka Kati ya Ikulu Zanzibar Ikulu Dar es Salaam Katika Uwanja wa mao Zedungs Zanzibar.

Wachezaji wa Timu ya IKulu Sports Club Dar es Salaam wakifanya mazoezi ya pamoja na Wenyeji wao Ikulu Zanzibar katika Bonaza la Michezo ya Pasaka iliofanyika Uwanja wa Mao Zedung's Zanzibar Timu ya Ikulu Zanzibar imeshinda mchezo huo kwa bao 6-2.

Wachezaji wa Timu ya Ikulu Zanzibar wakifanya mazoezi ya viungo kabla ya kuaza kwa mchezo wao wa Bonaza la Michezo ya Pasaka katika Uwanja wa Mao Zedungs leo.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.