Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Afya na
Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu pamoja na Balozi wa
Denmark nchini Mhe.Heinar Jensen pamoja na wadau wa Maendeleo wakifunua
kitambaa kuashiria Uzinduzi rasmi wa Kituo cha Afya Madaba mkoani Ruvuma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanachi wa Kijiji
cha Mageuzi Wilaya ya Namtumbo wakati akiwa njiani kuelekea Madaba mkoani
Ruvuma.Ambapo Mhe.Rais amechangia Shilingi Milioni nane kwa Shule ya Msingi na
Sekondari Mageuzi.

No comments:
Post a Comment