Habari za Punde

Tume ya Uchaguzi Zanzibar Yatoa Elimu Uandikishaji na Maandalizi ya Uhakiki wa Wapiga Kura.

Mkuu wa kurugenzi ya Elimu ya Wapiga Kura, Habari na Uhusiano Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar Ndugu. Juma Sanifu Sheha akifunga semina ya Wanafunzi Skuli ya Sekondari ya Mtule Wilaya ya Kusini kuhusu maandalizi ya uandikishaji na uhakiki wa taarifa za Wapiga Kura katika Daftari la kudumu la Wapiga Kura. Semina hiyo ilifanyika tarehe 15/04/2019

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.