Habari za Punde

Yaliojiri Mchezo wa Fainali Michuano ya Kombe la Afrika Mashariki Kati ya NIC na Prison Uwanja wa Gymkhana Zanzibar Timu ya NIC Imeibuka Bingwa wa Michuano hiyo Kwa Mwaka 2019. Kwa Kuifunga Prison Kwa Mabao 43-31.

Mchezo wa Fainali ya Michuano ya Kombe la Afrika Mashati Kati ya NIC na Prison mchezo uliofanyika Uwanja wa Gymkhana Timu ya NIC imeibuka Bingwa wa Michuano hiyo mwaka huu, baada ya kuifunga Timu ya Prison kwa mabao 43 - 31.











No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.