Habari za Punde

Kamati ya siasa ya Mkoa wa kaskazini yatembelea taasisi zilizo chini ya Wizara ya Fedha na Mipango


 AFISA Mdhamini Wizara ya Fedha na Mipango Pemba Ibrahim Saleh Juma, akitoa muhtaasari wa ziara ya kamati ya siasa Mkoa wa kaskazini kwa Wizara yake Pemba, kikao kilichofanyika katika ukumbi wa bandari ya Wete.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

KAIMU Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Pemba, Khadija Nassor Abdi,  akizungumza mara baada ya kupokea taarifa mbali mbali kutoka katika vitendo vilivyopo chini ya Wizara ya Fedha na Mipongo Pemba, wakati wa ziara ya kamati ya siasa mkoa huo kuangalia utekelezaji wa ilani ya CCM 2015/2020 kwa wizara hiyo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 MDHAMINI wa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Tawi la Pemba Habib Saleh Sultan, akitoa taarifa ya utekelezaji wa taasisi yake kwa miezi 10 kwa kamati ya siasa ya Mkoa wa Kaskazini Pemba, ilipotembelea taasisi zilizochini ya Wizara ya Fedha na Mipango Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MENEJA wa Mapato na Matunzo Ali  Khatib Juma kutoka ZRB Pemba, akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa kazi kwa kipindi cha miezi 10 kwa kamati ya siasa ya Mkoa wa Kaskazini Pemba, ilipotembelea vitengo vilivyochini ya Wizara ya Fedha na Mipango Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.