Habari za Punde

Kutoka Bungeni Jijini Dodoma leo.

Waziri  wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, akisoma hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2019 / 2020, Bungeni jijini Dodoma
Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mbunge wa Rufiji, Mohamed Mchengerwa kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma
Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, akifurahia jambo na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Mei 7.2019, katikati ni Mbunge wa Rufiji, Mohamed Mchengerwa
Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mbunge wa Monduli, Julius Kalanga kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Mei 7.2019, katikati ni Mbunge wa Longido, Dkt. Steven Kiruswa.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.