Mrembo wa mashindano ya Miss Journalism, Mina Yevtushenko kutoka Ukraine, akiwa katika ukumbi wa Bunge akitambulishwa jijini Dodoma,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angelina Mabula, Bungeni jijini Dodoma, Mei 23, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment