Habari za Punde

Mkutano wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.

Mwakilishi wa Jimbo la Chakechake Pemba Mhe.Suleiman Sarahan Said akichangia Hotuba ya Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni Zanzibar.
Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo akisoma Hotuba ya Bajet ya Wizara hio katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi linakloendelea Mbweni Zanzibar.
Mwenyekiti wa Kamati ya Maendeleo ya Wanawake,Habari na Utalii ya Baraza la Wawakilishi Mwantatu Mbaraka Khamis akisoma Hotuba ya kamati katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni Zanzibar.
Baadhi ya Wageni waliohudhuria katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni kufuatilia michango na miswada mbalimbali inayopitishwa na wajumbe wa Baraza hilo Zanzibar.
Picha na Yussuf Sima -Maelezo Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.