Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akifunua kitambaa na mwenyeji wake Rais wa Namibia
Mhe.Dkt. Hage Geingob kuashiria uzinduzi rasmi wa mtaa wa Julius K.
Nyerere ulipo katika Jiji la Windhoek Nchini Namibia. Mei 27, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akiwa mwenyeji wake Rais wa Namibia
Mhe.Dkt. Hage Geingob alipokuwa akimuonyesha Makongoro Nyerere mtoto wa Hayati
Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere mtaa mpya unaoitwa JULIUS K. NYERERE
uliopo katika Jiji la Windhoek Nchini Namibia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi na mwenyeji wake Rais wa
Namibia Mhe.Dkt. Hage Geingob mara baada ya kuzindua mtaa mpya wa Hayati Baba
wa Taifa Mwalimu Julius K. Nyerere unaoitwa JULIUS K. NYERERE uliopo katika Jiji la
Windhoek Nchini Namibia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akipongezana na mwenyeji wake Rais wa
Namibia Mhe.Dkt. Hage Geingob mara baada ya kuzindua mtaa mpya wa Hayati Baba
wa Taifa Mwalimu Julius K. Nyerere unaoitwa JULIUS K. NYERERE uliopo katika Jiji la
Windhoek Nchini Namibia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akiwapongeza Watanzania wanaoishi Namibia mara baada ya kuzindua mtaa mpya wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius K. Nyerere unaoitwa JULIUS K. NYERERE uliopo katika Jiji la Windhoek Nchini Namibia.Mei 27, 2019
Picha na Ikulu
No comments:
Post a Comment