Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiandika
katika kitabu cha maombolezo mara baada ya kuwasili katika Hospitali kuu ya
Jeshi ya Lugalo Jijini Dar es Salaam Mei 22,2019 kwaajili ya kuaga mwili wa
Marehemu Brigedia Jenerali Mstaafu Athuman Hassan Ngwilizi aliyefariki dunia
hospitalini hapo Mei 20,2019.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoa
heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Brigedia Jenerali Mstaafu Athuman
Hassan Ngwilizi katika Hospitali kuu ya Jeshi ya Lugalo Jijini Dar es Salaam
Mei 22,2019 ,Marehemu alifariki dunia hospitalini hapo Mei 20,2019.

wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Shekhe Mkuu wa Dsm Alhaji Mussa Salum baada ya kuwasili katika
Hospitali kuu ya Jeshi ya Lugalo Jijini Dar es Salaam Mei 22,2019 kwaajili ya
kuaga mwili wa Marehemu Brigedia Jenerali Mstaafu Athuman Hassan Ngwilizi
aliyefariki dunia hospitalini hapo Mei 20,2019.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana
na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo mara baada ya kutoa
heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Brigedia Jenerali Mstaafu Athuman
Hassan Ngwilizi katika Hospitali kuu ya Jeshi ya Lugalo Jijini Dar es Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
ameungana na Viongozi wengine na ndugu kusindikiza kwenye gari mwili wa
Marehemu Brigedia Jenerali Athuman Hassan Ngwilizi kutoka katika Hospitali kuu
ya Jeshi ya Lugalo Jijini Dar es Salaam Mei 22,2019 kuelekea Mlalo Lushoto
Mkoani Tanga kwaajili ya mazishi ,Marehemu alifariki dunia hospitalini hapo
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoa
pole kwa Mjane wa Marehemu mara baada ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa
Marehemu Brigedia Jenerali Athuman Hassan Ngwilizi katika Hospitali kuu ya
Jeshi ya Lugalo Jijini Dar es Salaam Mei 22,2019 ,Marehemu alifariki dunia
hospitalini hapo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoa pole kwa Familia ya Marehemu mara baada ya kutoa heshima za
mwisho kwa mwili wa Marehemu Brigedia Jenerali Athuman Hassan Ngwilizi katika
Hospitali kuu ya Jeshi ya Lugalo Jijini Dar es Salaam Mei 22,2019 ,Marehemu
alifariki dunia hospitalini hapo Mei 20,2019.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment