Muonekano wa Majengo ya Wizara Tatu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar yaliojengwa katika eneo la Gombani Kisiwani
Pemba Wilaya ya Chakechake
yaliofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Magengo Matatu ya Wizara za
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar zilioko katika eneo la Gombani Wilaya ya
Chakechake Pemba, kulia Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi
Mohammed Ramia Abdulwawa.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein,
akikata utepe kuashiria kufungua majengo ya Wizara Tatu za Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar, kushoto Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Balozi
Mohammed Ramia Abdulwawa na kulia Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na
Watoto Zanzibar Mhe. Maudline Castico na
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Khamis
Juma Maalim, wakishiriki katika ukataji wa utepe huo wakati hafla ya
ufunguzi wa majengo hayo
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
akimsikiliza Mshauri Elekezi wa Ujenzi
wa Majengo Matatu ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Ndg. Mbarouk Juma, wakati
wa hafla hiyo ya ufunguzi wa Majengo hayo
eneo la Gombani Pemba.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
akimsikiliza Mshauri Elekezi wa Ujenzi
wa Majengo Matatu ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Ndg. Mbarouk Juma, wakati
wa hafla hiyo ya ufunguzi wa Majengo hayo
eneo la Gombani Pemba.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein,
akiuliza mswali wakati wa hafla hiyo ya ufunguzi wa majengo hayo katika eneo la
Gombani Pemba
No comments:
Post a Comment