Habari za Punde

Taasisi ya Samael Academy Yakabidhii Msaada wa Vitabu

Sheikh Mohammed Suleiman (Altiwany ) akimkabidhi Mwalimu wa Madrasa ilichini ya taasisi ya Samael Academy, kitabu cha muongozo wa ufundishaji wa lugha ya Quraan (KIARABu) kinachojuilikana kwa jina naipenda lugha ya Quraan, kilicho tungwa na Mkurugenzi wa taasisi hiyo Sheikh Nassor bin Said (Alruweikhy).katika hfala iliofanyika kwenye ukumbi wa Samael Pemba.
Sheikh Mohammed Suleiman ( Altiwany) akizungumza na Waalimu wa Madrasa  za Quraan zilizo chini ya Mwevuli wa Taasisi ya Samael Academy, huko katika Ukumbi wa Taasisi hiyo ulipo Gombani Pemba, kabla ya kuwakabidhi Vitabu vya muungozo wa ufundishaji wa Lugha ya Kiarabu na Sadaka iliyoandaliwa na Taasisi hiyo.
Baadhi ya Waalimu wa Madrasa za Quraan zilizo chini ya Mwevuli wa Taasisi ya Samael Academy, wakimskiliza Mgeni rasmi wa shuhuli ya ugawaji wa Sadaka iliokwenda sambamba na ugawaji wa kitabu cha muuongozo wa ufundishaji wa lugha ya Quraan , kinachuilikana kwa jina la Naipenda lugha ya Quraan, kilichotungwa na Mkurugenzi wa taasisi hiyo Sheikh Nassor bin Said (Alrawakhy) katika hafla iliofanyika katika ukumbi wa taasisi hiyo Gombani Pemba.
Picha  na Bakari Mussa - Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.