Habari za Punde

Mkuu wa Wilaya ya Wete Akabidhi Vyakula Kwa Wananchi.


Mkuu wa wilaya ya Wete Pemba Mhe. Abeid Juma Ali, akimkabidhi msaada wa Vyakula mmoja wa Wazee wa Wilaya ya Wete Pemba, vilivyotolewa na Mhe.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt, Ali Mohamed Shein.
Picha na Said Abrahaman - Pemba

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.