Habari za Punde

Wananchi Waliopata Maafa Katika Kipindi Cha Mvua za Masika Kisiwani Pemba Wakabidhiwa Msaada wa Vyakula.

Mkurugenzi wa Kamisheni ya Maafa Zanzibar , Makame Khatib Makame, akimkabidhi Ofisa Mdhamini Ofisi ya Makamo wa pili wa Rais Pemba, Ali Salim Mata ,. msaada wa Chakula ambacho watakabidhiwa Wahanga wa mafuriko Kisiwani Pemba , katika hafla iliofanyika katika Kiwanja cha Tenis Chake Chake Pemba.
 Mkurugenzi wa Kamisheni ya Maafa Zanzibar , Makame Khatib Makame, akimkabidhi Ofisa Mdhamini Ofisi ya Makamo wa pili wa Rais Pemba, Ali Salim Mata ,. msaada wa Chakula ambacho watakabidhiwa Wahanga wa
mafuriko Kisiwani Pemba , katika hafla iliofanyika katika Kiwanja cha Tenis Chake Chake Pemba.
Ofisa Mdhamini Ofisi ya makamo wa pili wa Rais Pemba, Ali Salim Mata, akikabidhi msaada wa Chakula uliotolewa na Kamisheni ya Maafa Zanzibar, kwa Uongozi wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Pemba , huko katika kiwanja cha Tenis Chake Chake Pemba,
Ofisa Mdhamini Ofisi ya makamo wa pili wa Rais Pemba, Ali Salim Mata, akikabidhi msaada wa Chakula uliotolewa na Kamisheni ya Maafa Zanzibar, kwa Uongozi wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Pemba huko katika kiwanja cha Tenis Chake Chake Pemba,
 
 No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.