Habari za Punde

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Magufuli Amtembelea na Kumjulia Hali Mke wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakimjulia hali mjane wa Baba waTaifa Mama Maria Nyerere anayepatiwa matibabu jijini Dar es Salaam. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakimuombea mjane wa Baba waTaifa Mama Maria Nyerere anayepatiwa matibabu jijini Dar es Salaam. 

                                                                        Picha na Ikulu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.