Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Aongoza Kikao Cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar akisalimiana naMjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mwalimu Kombo, kuhudhuria Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe,. Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Pemba Mzee Hamad Mberwa, alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar kuhudhuria Kokao cha Kamati Maalu ya CCM Zanzibar.
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM na Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi wa CCM Afisi Kuu Zanzibar, alipowasili kuhudhuria Kikoa cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kushoto Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM  na Makamu wa Pili wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na kulia Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM Mwalimu Kombo, wakiwa wamesimama baada ya kuwasili katika ukumbi wa mkutano wa Kikoa cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar uliofanyikia Afisi Kuu ya CCM Zanzibar
WAJUMBE wa Kamati Kuu ya CCM Zanzibar wakiwa wamesimama wakati wa kuwasili Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, kuongoza Kikoa cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar, kilichofanyika katika Afiki Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar.
WAJUMBE wa Kamati Kuu ya CCM Zanzibar wakiwa wamesimama wakati wa kuwasili Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, kuongoza Kikoa cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar, kilichofanyika katika Afiki Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akijiandaa kufungua Mkutano wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar, kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Zanzibar kushoto Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM Mhe. Balozi Seif Ali Iddi
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua Mkutano wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar, kilichofanyika katika ukumbi wa Afiri Kuu ya CCM Zanzibar, kushoto Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa Mhe.Samia Suluhu Hassan na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Balozi Seif Ali Iddi
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.