Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Amuapisha Mkuu wa Kikosi cha Valantia Zanzibar KVZ Major Said Ali Juma Shamuhuna Ikulu leo 21-6-2019.Zanzibar.

 Mkuu wa Kikosi cha Valantia Zanzibar (KVZ) Major Said Ali Juma Shamuhuna, baada ya kuapisha Ikulu Zanzibar leo 21-6-2019, hafla ya kuapishwa imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
Mkuu Mpya wa Kikosi cha Valantia Zanzibar Major Said Ali Juma Shamuhuna akipitia hati yake ya Kiapo kabla ya kuapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Ikulu Zanzibar.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Said Hassan Said na kulia Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid, wakiwa katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar kuhudhuria hafla ya kuapishwa kwa Mkuu wa Kikosi cha Valantia Zanzibar Major Said Ali Juma Shamuhuna. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akiingia katika Ukumbi wa Ikulu Zanzibar kuhudhuria hafla ya kumuapisha Mkuu Mpya wa Kikosi cha Valantia Zanzibar KVZ, aliyemchagua hivi karibu, Major Said Ali Juma Shamuhuna. kuchukua nafasi ya Luteni Kanali Mohammed Mwinjuma Kombe anayestaafu, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.  

Rais wa Zanzibare na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Mkuu Mpya wa Kikosi cha Valantia Zanzibar KVZ Major Said Ali Juma Shamuhuna, hafla hiyi imefanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar. na kuhudhuria na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balizi Seif Ali Iddi, Spika wa Baraza la Wawakilishi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Said Hassan Said na Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali na Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. 

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid wakihudhuria hafla ya uapishaji wa Mkuu Mpya wa Kikosi Cha Valantia Zanzibar Major Said Ali Juma Shamuhuna, iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
Baadhi ya Viongozi wakihudhuria hafla ya kuapishwa kwa Mkuu Mpya wa Kikosi cha Valantia Zanzibar KVZ Major Said Ali Juma Shamuhuna, hafla hiyo imefanyika Ikulu ya Zanzibar, kutoka kushoto Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Said Hassan Sain na Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali.   
Rais wa Zanzibare na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Mkuu Mpya wa Kikosi cha Valantia Zanzibar KVZ Major Said Ali Juma Shamuhuna, hafla hiyi imefanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar, kulia Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balizi Seif Ali Iddi.  

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Kikosi cha Valantia Zanzibar Major Said Ali Juma Shamuhuna na Familia yake baada ya kumaliza hafla ya kumuapisha iliofanyika Ikulu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasalimia Watoto wa Mkuu wa Kikosi cha Valantia Zanzibar KVZ Major.Said Ali Juma Shamuhuna, hafla iliofanyika Ikulu Zanzibar leo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.