Habari za Punde

Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Balozi Ramia Aendelea na Ziara Yake Kisiwani Pemba Kutembelea Mradi wa ZUSP.

WAZIRI wa Fedha na Mipango Zanzibar Balozi Mohamed Ramia, akitoa mapendekezo kwa mkurugenzi wa Baraza la Mji Mkoani  Rashid Abdalla Rashid, kuufanyia mtaro wa maji ya mvua wa Mpikatango, ili usiweze kukaa uchafu ndani yake, wakati alipotembelea miradi ya ZUSP.
WAZIRI wa Fedha na Mipango Zanzibar Balozi Mohamed Ramia, akitoa maelekezo kwa uongozi wa baraza la Mji Chake Chake na Serikali ya Wilaya juu ya chinjio la Ngombe Tingatinga, lilijengwa kupitia mradi wa ZUSP .
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.