OfisawaKitengo
cha KushughulikiaMalalamikoKivaulaMsigwawaWizaraya Mambo
ya Mambo yaNdaniyaNchiakitoamaelekezokwabaadhiyawawakilishiwawananchi 54
kutokaKijiji cha Ihenga, WilayayaKilombero, MkoawaMorogorobaadayakusikilizwa, kuhudumiwamalaalmikoyaoyakunyang’anywamashambanamwekezajiKilombero
Farmnakubambikiwakesiyakuvamiamashambanakutishiaamanikwamwekezaji
Baadhiyawawakilishiwawananchi
54 kutokaKijiji cha Ihenga, WilayayaKilombero,
MkoawaMorogorowakipandagarichiniyausimaziwaMaofisakutokaKitengo cha
KushughulikiaMalalamikokwendakwaKamishnawaArdhi,
baadayakutokakatikaKitengohichokilichopoWizaraya Mambo yaNdaniyaNchiambapowalifikishamalalamikoyakunyang’anywamashambanamwekezajiKilombero
Farm, kubambikiwakesiyakuvamiamashambanakutishiaamanikwamwekezaji.
Baadhiyawawakilishiwawananchi
54 kutokaKijiji cha Ihenga, WilayayaKilombero,
MkoawaMorogorowakiwashukuruMaofisawaWizaraya Mambo yaNdaniyaNchiKitengocha
KushughulikiaMalalamikobaadayakusikilizamalalamikoyaoyakunyang’anywamashambanamwekezajiKilombero
Farm, kubambikiwakesiyakuvamiamashambanakutishiaamanikwamwekezaji.
MaofisawaKitengo
cha KushughulikiaMalalamiko, Wizaraya Mambo
yaNdaniyaNchiwakiwakatikapichayapamojanabaadhiyawawakilishiwawananchi 54
kutokaKijiji cha Ihenga, WilayayaKilombero,
MkoawaMorogoroambaowaliwasilishamalalamikoyaoyakunyang’anywamashambanamwekezajiKilombero
Farm, kubambikiwakesiyakuvamiamashambanakutishiaamanikwamwekezaji.
Hongereni sana wizara ya mambo ya ndani ya nchi kwa kuendelea kusikiliza malalamiko ya wananchi kwani kitengo hiki kimekuwa na faraja kubwa sana kwa nchi yetu.Mungu aendelee kuwasimamia na azidi kuwapa nguvu zaidi katika kazi zenu za kila siku.mbarikiwe sana
ReplyDelete