Mkurugenzi Masoko Kamishineni ya Utalii Zanzibar Dk. Miraji Ukuti akiwasilisha mada Hali ya Utalii katika Kisiwa cha Pemba katika Ukumbi wa Baraza la Mji Chake-chake lililowashirikisha wadau wa Utalii.
Afisa Takwimu Kamisheni ya Utalii Pemba Hamad Khamis Rashid akiwasilisha mada Ukusanyaji wa Takwimu katika sekta ya Utalii Ukumbi wa Baraza la Mji Chake-chake.
Kijana Omar Ali Khamis kutoka Mozeti Tours akitoa mchango baada ya kuwasilishwa mada katika Ukumbi wa Mkutano Baraza la Mji Chake-chake Pemba.
Mratibu Mwandamizi wa Uhamiaji kutoka Kisiwani Pemba Ramadhan Makame akitowa ufafanuzi juu ya uhalali wa uingiyaji wa Wageni katika Mkutano huo uliyofanyika Kisiwani Pemba.
No comments:
Post a Comment