Habari za Punde

NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, MHE. CONSTANTINE KANYASU AWAONGOZA KUNDI LA WANAFUNZI 20 WANAOSOMEA UONGOZI KUTALII HIFADHI YA TAIFA YA TARANGIRE

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Constantine Kanyasu ( wa pili kulia) akizungumza  na   kundi la Wanafunzi 20 wanaosomea mafunzo ya Uongozi (Uongozi Executive Programme 2019, Postgraduate Diploma in Leadership) waliotembelea Hifadhi ya Taifa ya Tarangire katika mkoa wa Manyara  kwa lengo kubwa  la kuhamasisha Utalii wa Ndani  pamoja na kuwafanya wanafunzi hao kuwa Mabalozi wa Utalii nchini. Wa kwanza kulia ni Mkuu wa Hifadhi hiyo, John Gala.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Constantine Kanyasu akiwa na     kundi la Wanafunzi 20 wanaosomea mafunzo ya Uongozi (Uongozi Executive Programme 2019, Postgraduate Diploma in Leadership) wakipewa maelezo kutoka kwa  Mkuu wa Hifadhi  ya Taifa ya Tarangile,, John Gala. wakati walipotembelea Hifadhi ya Taifa  iliyopo  katika mkoa wa Manyara  kwa lengo kubwa  la kuhamasisha Utalii wa Ndani  pamoja na kuwafanya wanafunzi hao kuwa Mabalozi wa Utalii nchini.. 
Baadhi ya wanafunzi hao wakisalimiana na watumishi wa Hifadhi ya Taifa ya Tarangille mara baada ya kuwasili makao makuu ya Hifadhi hiyo iliyopo katika mkoa wa Manyara.
Baadhi ya makundi ya tembo ambayo yameponekana katika hIFADHI YA taifa ya Tarangilre wakati wanafunzi hao walipotembelea Hifadhi hiyo leo.
 Kundi la Wanafunzi 20 wanaosomea mafunzo ya Uongozi (Uongozi Executive Programme 2019, Postgraduate Diploma in Leadership) wakiwasili kwa ajili ya  kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Tarangire katika mkoa wa Manyara  kwa lengo kubwa  la kuhamasisha Utalii wa Ndani  pamoja na kuwafanya wanafunzi hao kuwa Mabalozi wa Utalii nchini. Wa kwanza kulia ni Mkuu wa Hifadhi hiyo, John Gala.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Constantine Kanyasu ( katikati) akiwa kwenye picha ya pamojakwenye kundi la Wanafunzi 20 wanaosomea mafunzo ya Uongozi (Uongozi Executive Programme 2019, Postgraduate Diploma in Leadership) waliotembelea Hifadhi ya Taifa ya Tarangire katika mkoa wa Manyara  kwa lengo kubwa  la kuhamasisha Utalii wa Ndani  pamoja na kuwafanya wanafunzi hao kuwa Mabalozi wa Utalii nchini.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.