Kumejitokeza baadhi ya vyombo vya habari kuliita na kulitangaza Jumba la Wananchi Forodhani kuwa “Jumba la Mfalme”
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inapenda kuvijulisha vyombo vya habari na Wananchi kwa ujumla usahihi wa jina la Jumba la Wananchi kama ilivyotangazwa katika Gazeti Rasmi la Serikali.
Tunapenda kusisitiza matumizi sahihi katika kuandika na kutamka jina rasmi la JUMBA LA WANANCHI.
Imetolewa na :
Dkt Juma Mohammed Salum
Mkurugenzi
No comments:
Post a Comment