Habari za Punde

Watendaji wa Vyombo Vya Sheria Kisiwani Pemba Wapata Mafunzo ya Haji ya Jamii.

MKURUGENZI wa Mshataka Zanzibar Ibrahim Mzee Ibrahim, akifunga mafunzo ya siku mbili ya Haki Jamii kwa watendaji wa vyombo vya sheria kisiwani Pemba, huko katika ukumbi wa Makonyo Chake Chake Pemba
 WAENDESHA Mashataka Kisiwani Pemba Kutoka Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashata Pemba, wakifuatilia ufungaji wa mafunzo ya haki jamii kwa watendaji wanaosimamia vyombo vya sheria Pemba, huko katika ukumbi wakiwanda cha makonyo
 MRASIJI wa mahakama (Jimbo ) Pemba  Abdulrazak Abdulkadir Ali, akifuatiliwa uwasilishwaji wa mada mbali mbali katika mafunzo ya siku mbili ya haki jamii, kwa watendaji kutoka vyombo vya sheria Pemba
MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Hemed Suleiman Abdalla mwenye koti na kanzu, akiwa katika picha ya pamoja na watendaji wakuu kutoka vyombo vya sheria Pemba, kushoto ni Mkurugenzi wa Mashataka Zanzibar Ibrahim Mzee Ibarahim(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.