Habari za Punde

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Suleiman Azungumza na Waandishi wa Habari.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Haroun Ali Suleiman  akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na namana Serikali inavyofanya jitihada za kuzuia rushwa na uhujumu uchumi katika  siku ya kupambana na Rushwa na Uhujumu uchumi ambayo huadhimishwa kila ifikapo 11/07/2019 mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Ofisi hio Mazizini Zanzibar.   
Mkurugenzi Mkuu mamlaka ya kuzuia rushwa na Uhujumu Uchumi Mussa Haji Ali akitolea ufafanuzi juu ya Siku ya kupambana na Rushwa Afrika katika mkutano wa Waandishi wa Habari na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Haroun Ali Suleiman kuzungumzia  siku ya kupambana na Rushwa na Uhujumu uchumi ambayo huadhimishwa kila ifikapo 11/07/2019 mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Ofisi hio Mazizini Zanzibar.
Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Yakut Hassan Yakut akitoa maelezo na kumkaribisha mgeni Rasmi katika Mkutano  wa Waandishi wa Habari na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Haroun Ali Suleiman  kuzungumzia  siku ya kupambana na Rushwa na Uhujumu uchumi ambayo huadhimishwa kila ifikapo 11/07/2019 mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Ofisi hio Mazizini Zanzibar. 
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria  katika Mkutano  wa Waandishi wa Habari na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Haroun Ali Suleiman  kuzungumzia  siku ya kupambana na Rushwa na Uhujumu uchumi ambayo huadhimishwa kila ifikapo 11/07/2019 mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Ofisi hio Mazizini Zanzibar.  
Yussuf Simai Maelezo Zanzibar 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.