Habari za Punde

Mradi wa Ujenzi wa Jengo Jipya la Benki ya Watu wa Zanzibar Ltd Linalojengwa Katika Eneo la Malindi Zanzibar.

Jengo jipya ya Benki ya Watu wa Zanzibar Ltd linalojengwa katika eneo la Malindi Mjini Unguja jirani na Kituo cha Mafuta cha Malindi likiendelea na Ujenzi wake kama linavyoonekana pichani. Linalojengwa na Kampuni kutoka Nchini China ya  Hainan International.

MKADIRIAJI Ujenzi kutoka Kampuni ya Hainan International, Jumanne Mogamba akitoa maelezo kwa Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi Mohammed Ramia wakati alipotembelea ujenzi wa tawi jipya la Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) liliopo Malindi.








No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.