KATIBU Msaidizi Chama cha Mabunge Jumuiya ya Madola, na Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya mkutano wa 50 wa Jumuiya hiyo Saidi Yakub, akizungumzia maandalizi ya mkutano kwa Spika wa Baraza la Wawakilishi Zubeir Ali Maulid,hoteli ya Madinat Al Bahr
MWENYEKITI Kamati Tendaji Chama cha Mabunge Jumuiya ya Madola tawi la Zanzibar, Simai Mohamed Said, wa kwanza (kulia) akijibu maswali kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya ugeni unaotarajiwa kuingia Zanzibar kushiriki katika mkutano wa 50 utakoanza Ogast 31, 2019 hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni
SPIKA Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zubeir Ali Maulid, (wa pili kushoto) akiongozana na watendaji wa Chama cha Mabunge Jumuiya ya Madola tawi la Zanzibar, wakikagua maandalizi ya mkutano wa 50, wa Jumuiya hiyo utakaoanza tarehe 31 August 2019 huko hoteli ya Madinat Al Bahar Mbweni
SPIKA Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Zubeir Ali Maulid, (wa pili kushoto) akiongozana na watendaji wa Chama cha Mabunge Jumuiya ya Madola tawi la Zanzibar, wakikagua maandalizi ya mkutano wa 50, wa Jumuiya hiyo utakaoanza tarehe 31 August 2019 huko hoteli ya Madinat Al Bahar Mbweni
SPIKA Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Zubeir Ali Maulid, (wa pili kushoto) akiongozana na watendaji wa Chama cha Mabunge Jumuiya ya Madola tawi la Zanzibar, wakikagua maandalizi ya mkutano wa 50, wa Jumuiya hiyo utakaoanza tarehe 31 August 2019 huko hoteli ya Madinat Al Bahar Mbweni.
Picha na Abdalla Omar
No comments:
Post a Comment