Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza katika Kikao na Mabalozi wanaoiwakilisha
Tanzania katika nchi mbali mbali za nje Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza katika Kikao na Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi mbali mbali za nje Ikulu jijini Dar es Salaam.
RaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania
MheshimiwaDkt. John
PombeMagufuliakiwakatikapichayapamojanaMabaloziwanaoiwakilisha Tanzania
katikanchimbalimbalizanjemarabaadayakikaochaoIkulujijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Waziri wa Mambo
ya Nje Profesa Palamagamba Kabudi watano kutoka (kushoto), Naibu Waziri wa Mambo
ya Nje Dkt. Damas Ndumbaro watano kutoka (kulia)
pamoja na baadhi ya Mabalozi Wanawake wanaoiwakilisha Tanzania
katika nchi mbali mbali za nje Ikulu jijini Dar es Salaam.
Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment