Watendaji wa Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Zanzibar wakifuatilia mkutano wa Wizara yao wakati wa kuwasilishwa Ripoti ya Utekelezaji wa Bajeti na Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai 2018 hadi Juni 2019, uliofanyika Ikulu Zanzibar.
MAKABIDHIANO YA OFISI YA MAKAMU WA RAIS
-
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel
Nchimbi akikabidhiwa nyaraka mbalimbali za Ofisi ya Makamu wa Rais, kutoka
kwa...
36 minutes ago

No comments:
Post a Comment