Afisa Mdhamini Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya kale Pemba Khatib Juma Mjaja akimkaribisha Naibu Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya kale Chumu Kombo Khamis katika kikao cha Kamati ndogo ya kuandaa mpango wa muda mfupi wa kukuza utalii Kisiwani Pemba kikao hicho kimefanyika Ukumbi wa Taasisi ya Nyaraka na Kumbukumbu Pemba.
Naibu wa Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya kale Zanzibar Chum Kombo Khamis akizungumza na Wajume wa Kamati ndogo ya kuandaa mpango wa muda mfupi wa kukuza utalii Kisiwani Pemba kulia ni Afisa Mdhamini Pemba Khatib Juma Mjaja kikao hicho kilichofanyika Ukumbi wa Taasisi ya Nyaraka na Kumbukumbu Pemba.
Wajumbe wa Kamati ndogo ya kuandaa mpango wa muda mfupi wa kukuza utalii Kisiwani Pemba wakichukua Maelezo kwa Naibu Waziri wa Habari Chumu Kombo Khamis hayupo pichani mara alipofika katika kamati hiyo katika Ukumbi wa Taasisi ya Nyaraka na Kumbukumbu Kisiwani Pemba.
Afisa Mipango Kamisheni ya Utalii Pemba Hamad Amini Ali akitoa ushauri katika kamati ndogo ya kuandaa mpango wa muda mfupi wa kukuza utalii Kisiwani Pemba juu ya kuutangaza utalii kuanda na kutumia vipeperushi maalumu Kisiwani humo (kushoto) ni Afisa Utumishi na Uendeshaji Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya kale Moh’d Juma Rashid na Mkuu wa Idara ya Habari Pemba Maelezo Jamila Abdallah Salim.
Mratibu Taasisi ya nyaraka na Kumbukumbu za Taifa Pemba ambaeye ni Mjumbe wa Kamati ndogo ya kuandaa mpango wa muda mfupi wa kukuza Utalii Pemba Kombo Khamis Bakar akitoa ushauri wa kuiandaa kamati kitaalamu zaid iwe na uwezo wa kufanya kazi kwa uweledi kikao hichi kilichofanyika Ukumbi wa Taasisi ya Nyaraka na Kumbukumbu Kisiwani Pemba.
Mjumbe wa Kamati ndogo ya kuandaa mpango wa muda mfupi wa kukuza utalii Kisiwani Pemba Hamad Mfaki Yussuf ameishauri Kamati hiyo kuimarisha sekta ya Utalii Kisiwani Pemba ili kujiwezesha kumiliki katika ushindani wa sekta hiyo.
No comments:
Post a Comment