Habari za Punde

MAKAMU WA RAIS MHE SAMIA AFUNGUA TAMASHA LA UTAMADUNI WA NCHI ZA EAC

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Naibu Waziri wa Habari Utamaduni,  Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Daniel Shonza wakati wa Ufunguzi rasmi wa Tamasha la Sanaa na Utamaduni la Jumuiya  ya Afrika Mashariki (JAMAFEST) alipomuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es salaam 

 Baadhi ya Wasanii wa Vikundi vya Sanaa kutoka Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wakimsikiliza  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipokuwa akihutubia kwenye Ufunguzi rasmi wa Tamasha la Nne la Sanaa na Utamaduni la Jumuiya  ya Afrika Mashariki (JAMAFEST) alipomuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungnao wa Tanzania Dkt. John Magufuli katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es salaam

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Taifa alipokuwa akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muuungnao wa Tanzania Dkt. John Magufuli  kwenye Ufunguzi  rasmi wa Tamasha la Sanaa na  Utamaduni la Jumuiya ya Afrika Mashariki (JAMAFEST) katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es salaam

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipiga ngoma kama ishara ya Ufunguzi rasmi wa Tamasha la Nne la Sanaa na Utamaduni la Jumuiya  ya Afrika Mashariki (JAMAFEST) alipomuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungnao wa Tanzania Dkt. John Magufuli katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Msanii  Abdul Nasib Dimond Platnam muda mfupi baada ya kufungua rasmi Tamasha la Sanaa na Utamaduni la Jumuiya  ya Afrika Mashariki (JAMAFEST)alipomuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungnao wa Tanzania Dkt. John Magufuli katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es salaam

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.